Blue Whale Game La Android Wanasema Linauwa/Kill

Nimesoma kuhusu tasks mtu anazopewa nimeona ni wajinga tu au watoto wanaoweza fanya hizo tasks.
Yani uchat na mtu akwambie jikate na wembe kisha pga picha unitumie nawe ufanye
Mara panda juu ya bati usiku wa manane ukae huko si upimbi huo
 
Ni kwel chief nimepitia habari zao

scratch my back & i'll scratch yours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ