Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,415
- 3,761
We shoga, hoima tanga pipeline inawauma hadi sasa tunajua, the deal is intact na tushawaelezea kwenye ule uzi, total haijafungasha, second, those are just normal delays, sgr unaweza ona ikijengwa, iyo highway unaweza ona ikijengwa, nyie ni wachumba tu mazee.-Tuta-jenga pipeline Hioma to Tanga.
-Tuta-jenga Bandari Bagamoyo
-Tuta-fungua sgr Dar - Moro Novemba 2019
-Tuta-maliza kibaka Highway...Yani 17km zinewashinda kukamilisha?
Afadhali Kenya Kuna ufisadi Mkubwa unaojulikana ila miradi inakamilika on time na kuonekana
What happened? Total yafungasha virago vyake Tanzania(?)