muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,603
naomba niende kwenye mada moja kwa moja. mimi ni mwanamke nimeolewa miaka mitano iliyopita na tuna mtoto mmoja na huyu mume wangu tatizo hasa lakuomba ushauri kwenu ni mume haamini kama huyu mtoto ni wake coz tulipima blood group na mtoto ana group o positive, ambapo mimi na mwanangu tupo group moja yaan hiyo o. na babake ana group AB . sasa babaake anasema mtoto c wake haiwezekani mtoto awe group 0 nawakati yeye ni group AB nakosa amani mwenzenu naomba ushauri wenu.ni kweli lazima mtoto afuate group blood kwa baba?
xy(ab) xx(o)
xx xy(ab) xx xy(o)
huyo mtoto ni wa mmeo
Hyo mbegu yake. Ni maswala madogo 2 ya kibaiolojia ambayo hayaitaj hata chet cha form 6
mie ni blood group 0 na yeye mume wangu ni AB kwa hiyo na uhakika na tumepima blood group zetu
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. mimi ni mwanamke nimeolewa miaka mitano iliyopita na tuna mtoto mmoja na huyu mume wangu tatizo hasa lakuomba ushauri kwenu ni mume haamini kama huyu mtoto ni wake because tulipima blood group na mtoto ana group o positive, ambapo mimi na mwanangu tupo group moja yaan hiyo o. na babake ana group AB .
Sasa babaake anasema mtoto si wake haiwezekani mtoto awe group 0 nawakati yeye ni group AB nakosa amani mwenzenu naomba ushauri wenu.ni kweli lazima mtoto afuate group blood kwa baba?
Dada nashindwa namna ya kuandika nilikuwa najaribu kutafuta picha itakayofikisha kwa urahisi ujumbe.
Ukiiangalia hii picha hapa chini utaona kuwa mzazi mmoja akiwa na Kundi O (OO) na mwingine mwenye kundi AB, watoto watakaotokana na wazazi hao watakuwa na ama Kundi A au B na si vinginevyo.
Nashindwa kupata picha yenye kuonesha Tree Diagram ya namna ya kuzicross hizo alleles ili kupata matokeo ya makundi hayo A na B.

Angalia hii link hapa chini
Blood Type Child Parental Calculator -- EndMemo
Kama kweli wewe ni group O+ na mumeo ni group AB, basi mtoto wenu ana asilimia 50 ya kuwa group A na asilimia 50 ya kuwa group B. Kamwe hawezi kuwa group AB au O
Ndio maana anasema mtoto si wa kwake. Lakini nakushauri mwende kwenye DNA maana blood group siyo ufumbuzi wa mwisho. Mke au Mume anaweza kuchepuka na mtu mwenye blood group inayofanana na group ya mwenzake!
Aisee samahani lkn! Kwa elimu yangu ndogo nahisi huyo mtoto si wa mumeo! Group AB ni dominant na wewe ni group OO ni recessive! Sasa nategemea watoto wenu wote wataangukia kwenye group A na B tu. Duh, ngoja wataalam zaidi waje hapa!!
kwa hiyo mkuu unataka kuniambia huyu mtoto lazima awe group A or B
Yup...that's how ABO inheritance patterns work.
Fuata ushauri niliokupa kuondoa wasiwasi, kwa namna unavyoeleza unaonesha kabisa kuwa mtoto ni wa mumeo.
Fanya vipimo vya damu tena zaidi pimeni na DNA (pima DNA ya baba na mtoto).
Yup...that's how ABO inheritance patterns work.
Fuata ushauri niliokupa kuondoa wasiwasi, kwa namna unavyoeleza unaonesha kabisa kuwa mtoto ni wa mumeo.
Fanya vipimo vya damu tena zaidi pimeni na DNA (pima DNA ya baba na mtoto).
Aisee samahani lkn! Kwa elimu yangu ndogo nahisi huyo mtoto si wa mumeo! Group AB ni dominant na wewe ni group OO ni recessive! Sasa nategemea watoto wenu wote wataangukia kwenye group A na B tu. Duh, ngoja wataalam zaidi waje hapa!!
jmani kisa mtoto wake wa kwanza ambaye hakuzaa na mie amefuata blood group yake ; iweje huyu afuate blood group yangu ndo hapo hatuelewan wana jamii