SI KWELI HATA KIDOGO.....HAKUNA MAANDIKO/CHAPISHO YOYOTE YA KISAYANSI YALIYOWAHI KUSEMA HIVYO! Kama wewe ni blood group O+ve au O-ve...vaa kondomu kama kawa!
Mkuu Riwa, sasa wewe ulitaka watangaziwe kuwa wao hawapati ngoma ili iweje? Wangetangaziwa hivyo dunia isingetosha hii!!!!
Wewe nawe na hayo Maajabu yako ya maji tumekuchoka sasa! Haya hebu fanya basi maajabu yako ili tutumie hayo maji yako mpaka kwenye magari basi utusaidie, maana kila kitu wewe solution ni mimaji tuu, mwisho utasema hata katiba mpya itengewe kifungu cha maji....maji...maji...maji..kila siku maji tu. Tumekunywa mpaka matumbo yametuvimba hapa...............
Mkuu, nadhani unatambuwa kuwa MAJI NI UHAI, ikiwa unaamini MAJI NI UHAI, maana yake ni nini?.
Leo hii nikikuuliza kati ya jua na dunia kipi kinamzunguka mwezake?, mara moja utajibu ni dunia ndiyo inayolizunguka jua. Unaweza kujibu hivyo leo hii kwa sababu ndivyo ulivyofundishwa darasani miaka hii.
Mpaka karne ya kumi na tano (katika miaka ya 1500), watu wote waliamini kuwa ni jua ndilo linaloizunguka dunia, mpaka alipokuja mwanasayansi Galileo galilei katika karne ya 16 yaani miaka kama 1600 baadaye akathibitisha kuwa ni DUNIA ndiyo hulizunguka JUA na si kinyume chake, ALIPINGWA VIKALI MWANZONI, Lakini ndiyo sababu ya wewe leo kumfundisha mwingine kuwa dunia ndiyo inalizunguka jua.
Mabadiliko ya mambo kwa staili hii huitwa PARADIGM SHIFT, yaani unapata ukweli wa jambo tofauti kabisa na namna jambo lilivyowasilishwa mara ya kwanza. Kwa kawaida mabadiliko ya namna hii huchukuwa muda kutokea lakini mwisho lazima yatatokea. Wanasema ukweli daima utashinda.
Dr.Batmanghelidj (WaterCure | About Dr. B), hatimaye aligunduwa kuwa: Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa dr. Batmanghelidj.
"There is a principle which is a bar against all information, which is proof against all argument, and which cannot fail to keep man in everlasting ignorance. That principle is condemnation without investigation." - *Herbert Spencer*.
Naamini mtu anaweza akapungukiwa kinga ya mwili kwa sababu nyingi za kimaisha, lakini siamini kuwa kuna kitu kinaitwa HIV au Kirusi cha ukimwi husababisha ukimwi na kuwa eti ukimwi hautibiki.
Ukimwi hauletwi na kirusi cha ukimwi wala ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana. kinga ya mwili inaweza kurudishwa mwilini kirahisi kabisa bila dawa yeyote.
kunywa maji kabla ya kiu, maji ni zaidi ya dawa kwa kila ugonjwa, na hata unapokunywa dawa unatumia maji kumeza.
maajabuyamaji2.artisteer.net
wewe kama hayana manufaa kwako kaa kimya. Tulio na matatizo ya kiafya yanatupatia maajabu zaidi ya milion. Wewe unayeteseka na magojwa kunywa maji uone maajabu ya kitabibu
Je hili ni kweli jameni? Nimesikia mtu akitamba kuwa hawezi pata virus due to his blood group.
nyie ndio wale wajasiliamali mnaouza BIODISC????Mkuu, nadhani unatambuwa kuwa MAJI NI UHAI, ikiwa unaamini MAJI NI UHAI, maana yake ni nini?.
Leo hii nikikuuliza kati ya jua na dunia kipi kinamzunguka mwezake?, mara moja utajibu ni dunia ndiyo inayolizunguka jua. Unaweza kujibu hivyo leo hii kwa sababu ndivyo ulivyofundishwa darasani miaka hii.
Mpaka karne ya kumi na tano (katika miaka ya 1500), watu wote waliamini kuwa ni jua ndilo linaloizunguka dunia, mpaka alipokuja mwanasayansi Galileo galilei katika karne ya 16 yaani miaka kama 1600 baadaye akathibitisha kuwa ni DUNIA ndiyo hulizunguka JUA na si kinyume chake, ALIPINGWA VIKALI MWANZONI, Lakini ndiyo sababu ya wewe leo kumfundisha mwingine kuwa dunia ndiyo inalizunguka jua.
Mabadiliko ya mambo kwa staili hii huitwa PARADIGM SHIFT, yaani unapata ukweli wa jambo tofauti kabisa na namna jambo lilivyowasilishwa mara ya kwanza. Kwa kawaida mabadiliko ya namna hii huchukuwa muda kutokea lakini mwisho lazima yatatokea. Wanasema ukweli daima utashinda.
Dr.Batmanghelidj (WaterCure | About Dr. B), hatimaye aligunduwa kuwa: Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa dr. Batmanghelidj.
"There is a principle which is a bar against all information, which is proof against all argument, and which cannot fail to keep man in everlasting ignorance. That principle is condemnation without investigation." - *Herbert Spencer*.
Naamini mtu anaweza akapungukiwa kinga ya mwili kwa sababu nyingi za kimaisha, lakini siamini kuwa kuna kitu kinaitwa HIV au Kirusi cha ukimwi husababisha ukimwi na kuwa eti ukimwi hautibiki.
Ukimwi hauletwi na kirusi cha ukimwi wala ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana. kinga ya mwili inaweza kurudishwa mwilini kirahisi kabisa bila dawa yeyote.
kunywa maji kabla ya kiu, maji ni zaidi ya dawa kwa kila ugonjwa, na hata unapokunywa dawa unatumia maji kumeza.
maajabuyamaji2.artisteer.net
mama aliyeruhusiwa kunyonyesha ni yule ambaye hawezi kununua maziwa mbadala,yule ambaye hawezi kuweka maziwa mbadala katika hali ya usafi,yule ambaye mila yake au jamii yake itamtenga iwapo hatanyonyesha otherwise mama mwenye ukimwi msomi,msafi na mwenye hela atashauriwa kumpa mtoto maziwa mbadala.nashauri tusikurupuke kuongelea vitu tusivyovielewa,wewe unaleta evidence za 'manesi' wa hospitali za wilaya au google search wakati humu JF kuna madaktari na qualified nurses wa kutosha!!Dunia bila ukimwi inawezekana na wala haipo mbali, zamani walikuwa wanasema mama mwenye ukimwi akizaa mtoto kamwe mtoto asinyonye maziwa ya mama, Nesi mmoja wa hospitali ya wilaya ya mafia ameniambia kuwa siku hizi wameruhusiwa kunyonyesha!
SACRAMENTO, Calif. - A woman who competed in a radio station's contest to see how much water she could drink without going to the bathroom died of water intoxication, the coroner's office said Saturday.
Jennifer Strange, 28, was found dead Friday in her suburban Rancho Cordova home hours after taking part in the "Hold Your Wee for a Wii" contest in which KDND 107.9 promised a Nintendo Wii video game system for the winner.
"She said to one of our supervisors that she was on her way home and her head was hurting her real bad," said Laura Rios, one of Strange's co-workers at Radiological Associates of Sacramento. "She was crying and that was the last that anyone had heard from her."
It was not immediately know how much water Strange consumed.
A preliminary investigation found evidence "consistent with a water intoxication death," said assistant Coroner Ed Smith.
John Geary, vice president and marketing manager for Entercom Sacramento, the station's owner, said station personnel were stunned when they heard of Strange's death.
"We are awaiting information that will help explain how this tragic event occurred," he said.
Advertise | AdChoices
Advertise | AdChoices
Advertise | AdChoices
Initially, contestants were handed eight-ounce bottles of water to drink every 15 minutes.
"They were small little half-pint bottles, so we thought it was going to be easy," said fellow contestant James Ybarra of Woodland. "They told us if you don't feel like you can do this, don't put your health at risk."
Ybarra said he quit after drinking five bottles. "My bladder couldn't handle it anymore," he added.
After he quit, he said, the remaining contestants, including Strange, were given even bigger bottles to drink.
"I was talking to her and she was a nice lady," Ybarra said. "She was telling me about her family and her three kids and how she was doing it for kids."
wewe unayetuambia tunywe mimaji bila kusema kiasi gani kwa siku soma madhara ya kunywa maji hapo juu!
Jamani hili siyo jukwaa la siasa, mwachieni Dr. Aseme.
nyie ndio wale wajasiliamali mnaouza BIODISC????
ni kweli kabisa, inakubidi na wewe upime iwapo anachokuambia dr ni kweli au la.Siyo kila kitu anachosema dr ni ukweli
hivi mtu wa kawaida kule kijijini asiye na access ya machapisho ya kimtandao huwa anakunywa maji kiasi gani kwa siku?inaonekana mnajifanya wataalamu kwa kuelezea "kawaida"kujuwa kiasi unachohitaji cha maji kwa siku bonyeza je, tiba kwa kutumia maji inafanyikaje | maajabu ya maji.
SACRAMENTO, Calif. - A woman who competed in a radio station's contest to see how much water she could drink without going to the bathroom died of water intoxication, the coroner's office said Saturday.
Jennifer Strange, 28, was found dead Friday in her suburban Rancho Cordova home hours after taking part in the "Hold Your Wee for a Wii" contest in which KDND 107.9 promised a Nintendo Wii video game system for the winner.
"She said to one of our supervisors that she was on her way home and her head was hurting her real bad," said Laura Rios, one of Strange's co-workers at Radiological Associates of Sacramento. "She was crying and that was the last that anyone had heard from her."
It was not immediately know how much water Strange consumed.
A preliminary investigation found evidence "consistent with a water intoxication death," said assistant Coroner Ed Smith.
John Geary, vice president and marketing manager for Entercom Sacramento, the station's owner, said station personnel were stunned when they heard of Strange's death.
"We are awaiting information that will help explain how this tragic event occurred," he said.
Advertise | AdChoices
Advertise | AdChoices
Advertise | AdChoices
Initially, contestants were handed eight-ounce bottles of water to drink every 15 minutes.
"They were small little half-pint bottles, so we thought it was going to be easy," said fellow contestant James Ybarra of Woodland. "They told us if you don't feel like you can do this, don't put your health at risk."
Ybarra said he quit after drinking five bottles. "My bladder couldn't handle it anymore," he added.
After he quit, he said, the remaining contestants, including Strange, were given even bigger bottles to drink.
"I was talking to her and she was a nice lady," Ybarra said. "She was telling me about her family and her three kids and how she was doing it for kids."
wewe unayetuambia tunywe mimaji bila kusema kiasi gani kwa siku soma madhara ya kunywa maji hapo juu!
hivi mtu wa kawaida kule kijijini asiye na access ya machapisho ya kimtandao huwa anakunywa maji kiasi gani kwa siku?inaonekana mnajifanya wataalamu kwa kuelezea "kawaida"
halafu ningependa kujua ni watu wangapi waliougua T.B au saratani wamepona kwa kunywa maji pekee.
Hivi watanzania tumelogwa?leo utasikia kakobe anaponya kesho utasikia babu wa loliondo na kikombe chake kimoja,keshokutwa anakuja fadhili paulo na tiba zake za maji aaaaagrrrr!!!
jibu lako ni zuri lakini jinsi ulivyoanza nimetishika kidogo,huwezi kusema sio kweli bila ya kufanya utafiti.nashauri utafiti ufanyike kwanza halafu tupate majibu ambayo yatakuwa machapisho au maandiko kama ulivyonena.naomba urekebishe na kusema yaweza KUWA NI KWELI AU SI KWELI.yote kwa yote kwa kuwa hatuna ushahidi ni vizuri tukaendelea kutumia kinga mbalimbali ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya ukimwi.SI KWELI HATA KIDOGO.....HAKUNA MAANDIKO/CHAPISHO YOYOTE YA KISAYANSI YALIYOWAHI KUSEMA HIVYO! Kama wewe ni blood group O+ve au O-ve...vaa kondomu kama kawa!