Bloggers, Website Owners et el Naomba Kazi

Nimeiona ila Inasema ina matatizo kidogo, tunaanzaje mkuu?
Haina tatizo. Hiyo ni article ya majaribio niliweka.

Chagua mwenyewe aina ya article unayopenda kuandika hususani katika maeneo yafuatayo:

1. Business & Entrepreneurships

2. JobSeeking Tips

3. Psychology articles

4. Technology
 
Sawa.

Ninaweza andikia kuhusu Psychology, Technology, Business & Entrepreneurships.

Job seeking tips imefanywa na sites nyingi sana.

Default style ya uandishi wangu ni katika mtindo wa list. Hivyo kama hautanipa namna unataka articles zako zionekane mimi nitaandika katika mtindo huo.

Hivyo kama kuna style mahsusi unaitaka itakua vyema ukinielekeza.

Pia kama kuna kitu mahsusi unataka kilengwe kati ya mada nilizosema unaweza ukanielekeza pia.
 
Kwangu mfumo wa "list" ndio mtindo bora kwa blogging kwasababu hauchoshi wasomaji.

Article zozote unique zinafaa ingawa inapendeza zaidi zikiwa problem - solving.
 
Ndani ya siku tatu kuanzia leo nitakutumia article ya kwanza.
 
Jamaa alizidisha 2000 Mara 500 akapata hiyo Milioni moja.
So Kama kukosea maana yake umekosea pale nyuma kwenye TSH 500 kwa neno moja
Yea ni pale ndiyo nimekosea. Alivyoandika 1,000,000 ndiyo nikagundua.
 
Back
Top Bottom