Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
kama huna traffic kwnye blog yako usitegemee kupata hata mia, haijalishi blog desig ipo vizuri ama umenunua theme ya dola 300 ama umeweka plugins nzuri ukweli ni kwamba endapo hutapata traffic ni bora uendelee na shughuli nyingine tu.
Bloggers wengi sana wana ratiba huwa ni ngumu mno, kutafuta traffic, ataamka saa kumi alfajiri atashea hadi saa sita usiku na kupumzika masaa manne tu ili avute kitita ambacho watu wanadhani huwa kinajileta tu bila kuhaso,,,,Blogging is a pain in the a**, sio kazi ya kuichukulia poa hata kidogo, mambo yamebadilia tofauti kabisa na zamani auto posters zilivyokuwa zinasaidia ila kwa sasa wengi wanapiga manual na amini usiamini watu wapo na pc masaa 20 daily.
Sitapenda kuwachosha sana, Leo nitaelekeza namna ya kupata traffic kupitia mtandao maarufu wa maswali na majibu unaoitwa quora, Huu mtandao ni kama yahoo answers ya kizazi kipya, Mamilioni ya watu kila siku huperuzi quora ili kuuliza maswali, kusoma majibu, n.k So its basically a traffic machine kwa bloggers.
Wengi hadi sasa watakua wanafikiri kwamba "oh its easy, nikiona swa natia jibu kwa kuweka link ya blog yangu yeye majibu" NO NO! NO! Utalamba ban chap sana
Ntaendelea badae