Bloga Michuzi aalikwa kuzungumza Uingereza

wajinga wajinga wako wengi huku UK utawaona kwa mamia wanajiunga ccm!!!Upuuzi mtupu, kweli mtu na akili yako timamu unaweza kushabikia cccm ulaya???Mie ujinga huu wala haunipotezei muda niache nikapige box langu upumbavu huu wanao sana watu hapo London lakini sie watu wa mkoa hatuna muda wa kipumbavu wa kupoteza eti kuusikiliza utumbo huo.ila wengi wao wanaopenda mambo hayo hata MAISHA HUKU UK YALISHAWASHINDA KWA HIVYO WANAONA PA KUKIMBILIA NI HUKO CCM_LONDON!!!!!!!!!Upuuzi mtupu.,

Mkuu nashukuru kwa kuliona hili, ukiangalia kwa makini hao jamaa wengi
wa london/UK ni zao la hao hao mafisadi itakuwa ndio sababu kubwa
manake kwa hali ya kawaida, mtu hauwezi kufanya ushabiki wa chama
wakati unaona wazi hakuna haki yeyote nyumbani Tanzania.
 
Hivi umefikisha hits milioni 8 tu? Sikutarajia... Kama JF inapata over 45mil kwa mwezi mmoja nilitarajia kwako itakuwa over 50 mkuu wangu, so far safi sana mkuu!

:)

Kamanda Mkuu naomba unielimishe. Hizo hits unazosema ni over 45 Million ni kwa namna gani?

Assume the best number of visitors at JF (Members na Non Members) kwa siku au kwa 24 hours ni 10,000. Kwa siku 30 ni: 300,000 visitors. Suppose kila visitor kwa siku ana hit kama 10. Jumla itakuwa ni hits 3,000,000. Potelea pote hata ukisema kila visitor ana hits 100 kwa siku bado total zitakuwa ni hits 30,000,000 kwa mwezi.

Mkuu labda teknolojia inanipiga chenga hebu nielimishe hizi hits zaidi ya 45 Million kwa mwezi zinapatikana vipi au maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom