Blog Inauzwa!

Blog ina umri wa mwezi mmoja.
High quality posts 20 zote za kiingereza,
700-1500 words/post,
Niche -Travel
Bei elfu 50 tu(We can negotiate),
Haina adsense, mnunuzi utaongezea posts kadhaa kisha uapply adsense mwenyewe.
Sababu ya kuiuza: Nimekosa muda wa kuisimamia!
Kama uko interested nakutumia link inbox uikague.

Ni kwanini mtu anunue blog hii na asifungue tu ya kwake na kuweka tu posts zake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom