blog haziaminiki

diper

New Member
Jun 5, 2013
1
0
habari wapendwa. nataka nizungumzie hizi blog mbalimbli zinazoanzishwa siku hizi kwa lengo la kutupasha habari za kitaifa pamoja na udaku. zimekuwa zikipotosha jamii kutoa habari zisizo na uhakika na za kiwango duni. nimeandika hivi baada ya kusikitishwa sand na kitendo cha kuchafuliwa kwa baadhi ya taasisi hasa zile za elimu kwa habari hz za uzushi. kwamfano wiki iliyopita kuna blog inayoitwa gumzo la jiji ilitoa habari za kupata mkanda wa ngono wa wanafunzi wa chuo fulani dodoma. ndipo nakafanya uchunguzi wa habari hio kwa kuwasiliana na watu wa chuo hicho pia bahati nzuri yule mvulana namjua kwani nami ni mkazi wa dodoma kwa sasa. nlichogundua ni kwamba walioshiriki kwenye mkanda huo si wanafunzi wa chuo chochote dodoma bali wanakaa karibu na mazingira wanapokaa wanachuo. mimi sio mwanafunzi wa chuo hicho ila sipend kuona vyuo na wanafunzi wake wakichafuliwa kwenye vyombo vya habari kwa habari zisizo za uakika. hivyo tuwe makini na blogs hizi. asanten
 
Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,346
2,000
Mi nahis wewe ni mmoja wa mastaa wa hiyo filamu ya ngono so umekuja kujiosha hapa, huna lolote eti tusiziamini blogs, unataka tukuamini wewe mcheza picha za ngono? ebu tutolee utumbo wako hapa!
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,086
2,000
Karibu Bongo. Hii ndiyo Bongo yetu, yaani mtu akipata a lap top tu atataka kuanzisha blog yake na yeye na kuchuja habari za wenzake. Yaani kuna karibia ya blog kama 13 hivi za kibongo habari zao ni za kukopiana ukiondoa ile ya Mjengwa. Siku za nyuma nilikuwa napenda kufuatilia blog ya Vijimambo kw habari zao kuwa tofauti na wengine, ila kwa sasa wamekuwa kama Michuzi, Mtaa Kwa Mtaa, Jiachie kwa kuwa na habari na picha zile zile bila mwelekeo wowote. Ndiyo maana sasa nimerudi JF na kama kusoma habari za bloguni basi nafuatilia Mjengwa tu ila si hivi viblogu mshenzi. Juzi juzi hapa Michuzi alibandika picha za marais wetu waliopita huku akisifia kwa propaganda eti only in Tanzania ndiyo kunawezekana marais waliopita kuwa pamoja (Kikwete, Mkapa, Mwinyi). Yaani alisahau kuwa hawa wote ni wezi na wanalindana na katika hali ya kawaida Kikwete hawezi kumshitaki Mkapa ili afungwe, au Mkapa hawezi kumshitaki Mwinyi kwani wote wanabebana na kulindana. Michuzi ana propaganda za kijinga sana na ndiyo maana nadharau sana blogu yake, ni mwandishi wa habari but doesn't think the outcome ya habari anazobandika.
 
mchumia tumbo

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
1,442
1,500
Baadhi ya habari zao si sahihi.lakini blogs zinatupa habari hivyo zina umuhimu wa kuwepo.
 
Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,110
2,000
Karibu Bongo. Hii ndiyo Bongo yetu, yaani mtu akipata a lap top tu atataka kuanzisha blog yake na yeye na kuchuja habari za wenzake. Yaani kuna karibia ya blog kama 13 hivi za kibongo habari zao ni za kukopiana ukiondoa ile ya Mjengwa. Siku za nyuma nilikuwa napenda kufuatilia blog ya Vijimambo kw habari zao kuwa tofauti na wengine, ila kwa sasa wamekuwa kama Michuzi, Mtaa Kwa Mtaa, Jiachie kwa kuwa na habari na picha zile zile bila mwelekeo wowote. Ndiyo maana sasa nimerudi JF na kama kusoma habari za bloguni basi nafuatilia Mjengwa tu ila si hivi viblogu mshenzi. Juzi juzi hapa Michuzi alibandika picha za marais wetu waliopita huku akisifia kwa propaganda eti only in Tanzania ndiyo kunawezekana marais waliopita kuwa pamoja (Kikwete, Mkapa, Mwinyi). Yaani alisahau kuwa hawa wote ni wezi na wanalindana na katika hali ya kawaida Kikwete hawezi kumshitaki Mkapa ili afungwe, au Mkapa hawezi kumshitaki Mwinyi kwani wote wanabebana na kulindana. Michuzi ana propaganda za kijinga sana na ndiyo maana nadharau sana blogu yake, ni mwandishi wa habari but doesn't think the outcome ya habari anazobandika.
kwa kukurekebisha tu huyu michuzi sio mwandishi wa habari bali ni mpiga picha tuu then akapigiwa chepuo akaingia daily news then another chepuo ndo hapo alipo...huyu alikua anatupiga pc margot/mbowe/ymca enzi hizo kwa buku na alikua amepanga chumba kiwalani....
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,086
2,000
kwa kukurekebisha tu huyu michuzi sio mwandishi wa habari bali ni mpiga picha tuu then akapigiwa chepuo akaingia daily news then another chepuo ndo hapo alipo...huyu alikua anatupiga pc margot/mbowe/ymca enzi hizo kwa buku na alikua amepanga chumba kiwalani....

Kumbe ndo maana anaborongaaaa?
 
Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,518
2,000
Kuna ka blog kanaitwa dj fetty yani umbea tu..bora millard ayo anajitaidi
 
Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,110
2,000
Kumbe ndo maana anaborongaaaa?
Ndo maana yake na hizo blog za cjui mtaa kwa mtaa na jiachie ni za wadogo zake...creative ni zero na nyingine nyingine zinacopy na kupaste tu toka kwa hizi kina michuzi from picha hadi neno kwa neno...wengi ni waganga njaa wanavizia paycheck ya vimatangazo vya kilimanjaro bia, vodacom et al..
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,086
2,000
Ndo maana yake na hizo blog za cjui mtaa kwa mtaa na jiachie ni za wadogo zake...creative ni zero na nyingine nyingine zinacopy na kupaste tu toka kwa hizi kina michuzi from picha hadi neno kwa neno...wengi ni waganga njaa wanavizia paycheck ya vimatangazo vya kilimanjaro bia, vodacom et al..

Dah, ahsante kwa kunifungua macho....basi kuanzia sasa mimi na JF tu haya masuala ya blog itabidi nisubiri mpaka bloggers wote wabadirike. Mungu msaidie Mjengwa awe tofauti na wenzake milele, Amina.
 
Top Bottom