blocking internet security

blocking internet security

king herode

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
370
Reaction score
579
za mchana wadau?
nna swali hapa linanitatiza hv nikitumia vpn kwa pc ya kazini naweza kublock na kuhack zile internet security wanazozifungia kwa baadhi ya websites.
 
Kama sijakuelewa, ila kama kuacess web zilizofungiwa hilo linazekana na ndio moja ya kazi kubwa ya vpn.

Nikuulize hivyo vpn ya offisini kwenu inatumia server za wapi? Kwa sababu pia kuna baadhi ya site huduma zao hawatoi kwa baadhi ya nchi.
 
naona ni server za kenya
 
coz ukiwa unafanya online application zozote wanakudirect information za nchi na jji za kenya na code +254
 
Kwa hiyo kumbe vpn inatumika hapo offisini kwenu sasa na yenyewe itakuwa na changamoto kama wameiconfigure kutoaccess baadhi ya site unazotaka.
 
Back
Top Bottom