Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 44
- 49
Zingatia Neno time left.. kama Mwezi mmj Tu nimepata BST 541 Zaidi ya 50% ya kile nilichowekeza.. baada ya 135 days nitakuwa na BST Ngp?
Unafahamu Teknolojia ya Blockchain mkuu??Ndio nini hii
yaaan anahisi kila mtu anajuaNdio nini hii
y inbox wakat ww umeleta waz hapa jamvin?Unafahamu Teknolojia ya Blockchain mkuu??
Kama ndio unaweza kutambua juu ya sarafu za kidijitali.
Lakini kama hujui ni inbox 📥 nikupe mawasiliano upate Elimu hii kiundani...🤝
Unaweza kuichambua Pdf yenye page 40 hapa kwakuandika?y inbox wakat ww umeleta waz hapa jamvin?