Kaka tatizo siyo ugeni ila ukiwa makini utaona hawapeani nafasi ya kuongea fuatilia interview zao wnauliza maswal meng bila mpangilio,lets hope baada ya muda watakua vizuri zaidi
in short Jonijo yupo vizuri kama muongozaji wa kipindi hao wanaobaki ni wabovu
nikimlinganisha na wenzie kwenye kipindiWabovu ukilinganisha na nani? Jonijo anaweza kuendesha kipindi peke yako na sikiboe? Lazima tukubali wote wana ubora wao na wanapaswa kupewa nafasi na si wabovu kama mnavyo taka tufikiri.
sahihi chiefHilo tatizo lipo lakini kwa kiasi kikubwa limepungua ukilinganisha na mwanzoni kipindi kinaanza na nilisha wai kuwandika humu! Mimi naona at least kwa sasa unaona kipinid kina viongozi unaona kabisa kama siku Jonijo hayupo unajua kiongozi ni Cat.....
Lakini wanapo kwenda ni pazuri zaidi na hilo tatizo mbona lipo kwenye radio nyingi tuu tena kongwe na ni mambo yanayo rebishika pole pole na ni lazima tukubali watu lazima wapewe nafasi ya kukua na kujifunza lakini si kufukuzwa....
Na shida yetu tunapenda ready made sana yani tunataka kila kipindi na kila radio ziwe na level zaClouds au E-Fm ndio kwetu inakuwa wamemefanikiwa...
Tuna shida ya kutoa nafasi kwa watu wapya kujifunza na kukua——
Pamoja na hayo yote lakini hicho kipindi ni kizuri na kina watu wengi wana kifatilia sana....
Nilikuwa nasaka comment yako maana najua usingekosekana.Sijaona kabisa hoja——-
Inawezekana unalo lisema ni kweli lakini hapa hujaweka hoja yoyote ile....
Weka hoja hapa hata moja tuichambue wote!
Kinyume na hapo unaonekana una chuki tuuu zisizo na msingi!
Na chuki humuumiza zaidi anaye chukia.
mahaba banaHapana hata wengine wako vizuri kuna yule binti anaitwa Cat ... hicho kipindi ni kipya na wameanza vyema sana wanahitaji kupewa muda tuu watakuwa vyema sana...hata hao unao wasifu hawakuanza hatua za juu walianza kwa chi na kuanza kukua.....
Hivyo lazima tukubali kwa jioni hicho ni kipindi kizuri tuu sema wana hitaji.
Nilikuwa nasaka comment yako maana najua usingekosekana.
Mwambie boss wako alifanyie kazi hilo maana si mara yabkwanza naona watu wakililalamikia hilo haswa kwenye hicho kipindi.
nikimlinganisha na wenzie kwenye kipindi
Nilikuwa nasaka comment yako maana najua usingekosekana.
Mwambie boss wako alifanyie kazi hilo maana si mara yabkwanza naona watu wakililalamikia hilo haswa kwenye hicho kipindi.
Ndio muwaambie wawe professional. Kukosea huko ndio ubovu wenyewe maana unajirudia mara kwa mara.Hahahaha mimi bado sijaona hoja na nimesema wazi kuna uwezekano mkubwa yanayosemwa ni kweli lakini si kiasi hiki cha kuita watu kuwa ni wabovu... hawa vijana wameanza juzi lazima wana jifunza na kujirekebisha!
Ndio muwaambie wawe professional. Kukosea huko ndio ubovu wenyewe maana unajirudia mara kwa mara.
Niliwahi mara moja boss wao alipokuwa anahojiwa akaropoka yale ya zari. Aisee the whole interview was awkward, totaly unproffesional. Hadi unawaza inamaana waliowaajiri hawalioni hili? From there i never bothered.Huwa una sikiliza? Kama huwa una sikiliza utakubaliana nami wamepiga hatua...
Kumbe! We ni fan wa zari ndo maana unawapingaNiliwahi mara moja boss wao alipokuwa anahojiwa akaropoka yale ya zari. Aisee the whole interview was awkward, totaly unproffesional. Hadi unawaza inamaana waliowaajiri hawalioni hili? From there i never bothered.
Kumbe! We ni fan wa zari ndo maana unawapinga
Kwanini umesema diamond alikuwa anaropoka?Wapi nimesema mie fan wake?
Hivi huwa mnatumia viungo vipi kufikiri?
Very true..... Sijui wametumia vigezo gani maana content hawana kabisa wale watangazaji wanaongeaga ujingaujinga tu na kujifanya watoto wa kishua
Wapi nimesema mie fan wake?
Hivi huwa mnatumia viungo vipi kufikiri?