middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Wanajamvi naamini mko salama,
Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM.
Aisee kila inapofika saa Mbili najitahid sana kusikiliza hii redio lakini duh ni madudu matupu humo watu kama wapo grocery wanapiga moja mbili tatu.
Wadada wanajisifu eti kupenda wanaume wenye hela dah.
Watangazaji hawana kitu kichwani ni upuuzi mtupu humo.
Nassibu asipo angalia hawa jamaa watamuangusha sana kwenye ku brand redio yake.
Watu tunaanza kuipenda radio hii kwa sababu ya muziki na sio Watangazaji. Wakianza tu kutangaza tunabadilisha station.
NASSIBU KAA MACHO NA MARAFIKI ZAKO ULIOWAAJIRI HAPO.
Mimi huwa nawa-tune kuanzia saa 5 usiku, tena narekodi kabisa maana wanashusha ngoma za maana sana. Ila huo ushuzi sijui wa block 89 sitaki hata kuusikia.Wanajamvi naamini mko salama,
Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM.
Aisee kila inapofika saa Mbili najitahid sana kusikiliza hii redio lakini duh ni madudu matupu humo watu kama wapo grocery wanapiga moja mbili tatu.
Wadada wanajisifu eti kupenda wanaume wenye hela dah.
Watangazaji hawana kitu kichwani ni upuuzi mtupu humo.
Nassibu asipo angalia hawa jamaa watamuangusha sana kwenye ku brand redio yake.
Watu tunaanza kuipenda radio hii kwa sababu ya muziki na sio Watangazaji. Wakianza tu kutangaza tunabadilisha station.
NASSIBU KAA MACHO NA MARAFIKI ZAKO ULIOWAAJIRI HAPO.
Wanajamvi naamini mko salama,
Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM.
Aisee kila inapofika saa Mbili najitahid sana kusikiliza hii redio lakini duh ni madudu matupu humo watu kama wapo grocery wanapiga moja mbili tatu.
Wadada wanajisifu eti kupenda wanaume wenye hela dah.
Watangazaji hawana kitu kichwani ni upuuzi mtupu humo.
Nassibu asipo angalia hawa jamaa watamuangusha sana kwenye ku brand redio yake.
Watu tunaanza kuipenda radio hii kwa sababu ya muziki na sio Watangazaji. Wakianza tu kutangaza tunabadilisha station.
NASSIBU KAA MACHO NA MARAFIKI ZAKO ULIOWAAJIRI HAPO.
Mimi huwa nawa-tune kuanzia saa 5 usiku, tena narekodi kabisa maana wanashusha ngoma za maana sana. Ila huo ushuzi sijui wa block 89 sitaki hata kuusikia.
Cc Unforgetable
103.3 inaniangushaga pale wanapoanza kupiga back to back wakat me napenda mixing.
in short Jonijo yupo vizuri kama muongozaji wa kipindi hao wanaobaki ni wabovuSijaona kabisa hoja——-
Inawezekana unalo lisema ni kweli lakini hapa hujaweka hoja yoyote ile....
Weka hoja hapa hata moja tuichambue wote!
Kinyume na hapo unaonekana una chuki tuuu zisizo na msingi!
Na chuki humuumiza zaidi anaye chukia.
in short Jonijo yupo vizuri kama muongozaji wa kipindi hao wanaobaki ni wabovu
Kaka tatizo siyo ugeni ila ukiwa makini utaona hawapeani nafasi ya kuongea fuatilia interview zao wnauliza maswal meng bila mpangilio,lets hope baada ya muda watakua vizuri zaidiHapana hata wengine wako vizuri kuna yule binti anaitwa Cat ... hicho kipindi ni kipya na wameanza vyema sana wanahitaji kupewa muda tuu watakuwa vyema sana...hata hao unao wasifu hawakuanza hatua za juu walianza kwa chi na kuanza kukua.....
Hivyo lazima tukubali kwa jioni hicho ni kipindi kizuri tuu sema wana hitaji.