pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
asante sana Bro
Je!haipungui hata kidogo kwa sie wa Dar..
Hakuna punguzo Chief?!Wa Dsm utaletewa ulipo kaka
Hii itakuwa Kenwood ya Beijing.
MultiFOnction ndio kitu gani?
Hakuna punguzo Chief?!
Dodoma unatuma kwa sh.ngap?
Dodoma tunatuma kwa 10,000 kiongozi ofisi za magari wanachaji 10,000
Multifonction
Hilo box au kuna mtu ameli edit ili kuharibu biashara za watu
Achana na box mkuu karibu nikuuzie blender hutojutia ni mashine ya uhakika
...Asante kwa taarifa..Je zina warranty hizo blender zako?Husika na kichwa hapo Juu ninauza blender mpya kabisa aina ya Kenwood zenye uwezo wa kufanya kazi nzito yaani zinafanya kazi zote za kusaga vitu vikavu na vilaini inasaga Hadi unga yaani nafaka za aina zote
Kwa wale wanaotengeneza Juice hii Blender inapiga kazi hutojutia kununua
Specification
Ina watts 3,000
Ina jag la ukubwa wa Lita mbili
Inauwezo wa kusaga viungo, na nafaka za aina zote
Inasaga Juice kwa haraka sana
Inapiga kazi Sana nimeshindwa ku upload video Yake hapa kuona jinsi inavofanya kazi ila kwa anaetaka kuona video just check me kwa WhatsApp 0763772636 nitakuonyesha
Garama Yake Ni nafuuu Sana
Sh 145,000 tu
Kwa anaehitaji please nichek WhatsApp 0763772636
View attachment 1551130View attachment 1551133View attachment 1551137
...Asante kwa taarifa..Je zina warranty hizo blender zako?
Ndio boss
Inaweza kusaga juice? ??!!!Multfuction maana Yake inafanya kazi zote waweza saga unga walishe waweza saga juice waweza saga viungo vya chai inapiga kazi sana
Inaweza kusaga juice? ??!!!
Tukiendelea kupata support kutoka kwa wateja wetu wa jamii forum karibu tukuhudumie hutojutia mashine inapiga kazi sana kwa walionunua watakuwa mashuhudaInasaga kila kitu kiongozi Juice viungo vya chai, mchele wa vitumbua kila kitu ina watts 3,000 Ni kubwa Sana hutojutia Tena kwa wafanyabiashara wa juice hizi ndo Blender wanazotakiwa kutumia commercial blender zinapiga kazi Muda mrefu ulizia kwenye maduka ya vyombo hizi blender sio chini ya laki mbili na nusu wanauza
Inaweza kusaga juice? ??!!!