Blasia za madada zetu!!

Nimesoma huu uzi nikacheka sana mpaka machozi, hasa kwenye comment za MgonjwaUkimwi afu sijui bado yuko active??

Kiukweli wadada wengi wanajisahau sana katika suala zima la Underwear na bra...

#ItBeginsWithYou
 
Last edited by a moderator:
Na nyinyi wakaka na boxer zenu chafuuuuuu mpaka znabadlka rangi from white to dirt yaan rang ya maziwa s maziwa full uchafu

ahahaaa na wasivyopenda kuvaa nyeupe coz washajijua ni shidaa
 
ahahaaa na wasivyopenda kuvaa nyeupe coz washajijua ni shidaa

Wengine ni wachafu tu... Kuna mdada aliwahi kusema "Mie sipendi chup nyeupe, napenda za crazy color" nilimuangalia alivyo sista du hata sikuamini....
 
Last edited by a moderator:
Wengine ni wachafu tu... Kuna mdada aliwahi kusema "Mie sipendi chup nyeupe, napenda za crazy color" nilimuangalia alivyo sista du hata sikuamini....

duuu wanatia aibu hata kule kujishtukia hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…