Si unafanya na maandalizi kabisa ya kukaa rumande na baadaye mahakamani halafu jela pindi hilo dili likibuma, kinyume chake umeula mwanangu maana utajaza kiasi unachotaka.
mkuu mimi huwa siibi, ila nawachukia sana wezi na kuwaripoti mamlaka husika, kama vp tushirikiane katika kuhabarishana ni mbinu gani wanatumia mkuu tuwaripoti majizi yote yakamatwe...