utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Ahsante kwa tafakuri yako umejitahidi kwani ndio upeo wako !.uANAelewa maana ya purchasing serikalini +mchakato wote !Hii si vita ya biashara ni tafakuri ndogo ya kutusaidia kuuchambua umaskini wetu hebu tafakari hizo ash.zingeenda kunuua mashuka ya hospitali !Vita ya kibiashara unaleta huku.kwani yeye ndie purchasing officer?
Blandina Nyoni aliwahi kuwa mhadhiri Mzumbe university, akafanya kazi USAID, kabla ya kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, alikuwa kamishna TRA. Yeye ana sifa ya kufuatilia watu wake wa chini kwa kweli anaijua kazi yake ipasavyo:smile-big:
Ahsante kutukumbusha mkuu!lakini bado anaishi na na mengine-hayo ya mali asili na india!
Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini,
Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake ya kama kiongozi imemjengea hali ingine inayofanya wadadisi kujiuliza huyu mama ni nani!
Achilia mbali kuwa ni Board member wa WAMA,NGO Ya Mama Salma Kikwete iliyopo Ikulu!sijui alipenyaje huko!lakini matendo yake akiwa KM yanatia mashaka kama kweli huyu ni katibu mkuu kama wengine!niHebu angalia mifano hii ya maamuzi akiwa wizara ya afya!....
Kwa miaka 2 mama huyu amefanikisha wizara kutumia zaidi ya Sh.Billion 4 kushiriki maenesho ya Sabasaba na Nane ambako amekuwa akifanya kufuru kubwa.
Mfano mdogo mmoja ni sare ,mama Blandina amewezesha wizra ya afya kuwanunulia washiriki wapatao 1000 suti jozi 6,ambazo thamani yake ni karibu shi Bilioni 2.7!nguo hizi zimekuwa zikiletwa na Duka la Mariedo moja kwa moja toka Uingereza.!Maswali ya kujiuliza hapa je haya ni matumizi yaliyohalalishwa na bunge kweli ,kumbuka Bilioni 2.7 zingeweza kununua vitanda 2700! vya hospitali kwa bei ya Tsh.1,000,000 kila kitanda ,natumaini kwa mtaji huu shemeji,wifi,wake ,mama,shangazi zetu wasingekuwa wanallala chini kule AMAna,Ilala na MUHIMBILI!
jAMBO LINGINE LINALOTIA MASHAKA NI MCHAKATO WA MANNUNUZI UANAOFANYIKA!LICHA YA KUWA FEDHA HIZO HAZIPITISHWI NA BUNGE LAKINI NAMNA AMBAVYO KAMPUNI YA MARIEDO IMEKUWA IKISHINDA ZABUNI HII KWA MIKA MIWILI MFULULULIZO NI MASHAKA MATUPU!
KUTOKANA NA MFANO HUU TU MDOGO NAOMBA WADAU MNIFAHAMISHE HUYU MAMA ANATOA WAPI NGUVU HII YA KUNUNUA NGUO ZA MAENESHO KWA VITANDA VYA HOSPITALI 2700!
mhh watu mnabukua sasa haya yote ni mwendelezo ule ule sasa hawa wakubwa hwayaoni haya madudu, ni wakubwa angapi kama huyu wanaofuja kodi zetu na kusababisha bei, kodi za vitu kupanda na kufanya walipakodi wawanufaishe wao tena???
Aluta continue!
Blandina Nyoni aliwahi kuwa mhadhiri Mzumbe university, akafanya kazi USAID, kabla ya kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, alikuwa kamishna TRA. Yeye ana sifa ya kufuatilia watu wake wa chini kwa kweli anaijua kazi yake ipasavyo:smile-big:
...Nadhani anahitaji umakini zaidi, gazeti la Majira la tarehe 26/04/2011 ameorodhesha list ya Madaktari bingwa na kuwapangia vituo hospitali za mikoa, wakaandika na hospitali waliopo kwa sasa ambazo wengi walishatoka huko, walioorodheshwa wengine walikuwa discontinued wakati wakisoma huo udaktari bingwa, wengine bado hadi leo hawajamaliza lakini wametajwa kama madaktari bingwa na kutakiwa kuripoti vituoni....hapo umakini uko wapi??, wengine wameendelea kusoma Masters of Science kama mambo ya Moyo, Figo.., wengine ni walimu katika chuo kikuu kipya cha UDOM chenye course ya udaktari, au alitegemea wafundishwe na nani? Wengine ni walimu hapo Muhimbili, au ulidhani hao wazee hapo watafundisha milele na kuongeza mikataba kila siku bila kuandaa walimu vijana???? Hivi huko wizarani hakuna kupitia files za waajiriwa wao wajue wako wapi hadi wanawapangia vituo mara mbili mbili??? wengine kuandikiwa ubingwa tofauti na waliosomea..... hapo kwa mtazamo wangu hakuna umakini... tafuteni hili gazeti na wengine jina moja wamepangiwa vituo viwili sasa sijui anaripoti kituo gani.....hapo penye red napata wasi wasiBlandina Nyoni aliwahi kuwa mhadhiri Mzumbe university, akafanya kazi USAID, kabla ya kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, alikuwa kamishna TRA. Yeye ana sifa ya kufuatilia watu wake wa chini kwa kweli anaijua kazi yake ipasavyo:smile-big:
Sidhani kama ni vibaya kununulia watu nguo nzuri wakapendeza! ILA Naelewa concern yako! Matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi! maana hapa lazima tuzungumzie Priorities! Huwezi kuacha huduma muhimu za Hospital kama Vitanda, Madawa, magari ya kubebea wagonjwa na watumishi na mioundombinu chakavu kwa ujumla eti ukanunua suti za billions of Money!!! na siyo suits tu! pia wafanyakazi hawa walinunuliwa pairs za fulana na allowance za kujikimu wakiwa Sabasaba Dsm na Nane nane Dodoma! THEN IT IS A BILLIONS OF MONEY!. Nilichosikia ni kwamba taasisi zilizochini ya Wizara ya Afya walitakiwa kutoa michango yao kwenda Wizarani kwa mamilioni ya pesa!! lakini kwa kuwa taasisi hizo ni za Serikali bado pesa hizo zinabaki kuwa za serkali. Sasa wanatoa mamilioni ya pesa kiasi hicho katika kununua nguo wanashindwa hata kununua magari ya kubeba watumishi wao! maana utawakuta wakati mwingine wakiomba lift au wakiwa vituoni wakinyeshewa na mvua au kuunguzwa na jua! TFNC ndio naona angalau wana Bus design ya Babako analo?! Wanaweza kuwa na nia njema ya kujitangaza na kuwaonyesha wananchi kazi wanzofanya! lakini kwa gharama ipi na kwa pesa za nani?! na mbona ufanisi ni hafifu. Si wangeweza kununua Fulana na Kofia tu kwa gharama nafuu km wangetaka kuvaa uniform?! Thanks UntiyaniSanga umeliona hili! na lazima lifuatiliwe kwa karibu!