Mkuu suala la kuing'oa CCM lipo palepale na halipaswi kuwa mjadala!
Hapa tunajaribu kudadavua haki za mtumishi wa umma anapopatwa na tuhuma nzito kama hizi!
Watanzania tutabaki kulaumu, penye mazuri kusifia. hatuna plan. 2naenda enda 2 kama mapia. Nachukia sana nikiona maendeleo yale ina tunakuwa wagumu kuingia katika kuyatafuta kwa kasi ya ajabu. Watu kama hawa mafisad. Kuna haja ya kuwachelewesha. Rais JPM, tumia udikteta kidogo watu tuheshmiane mtaani.
Uitoe ccm ili waingie chadema?
Kati ya majipu matatu makubwa ya wiki hii yote yalikuwa yanahusishwa na ufadhili wa mgombea wenu!
Bade, huyo mkenya na kitilya!
Sijui tungeishije na mijipu uchungu miaka 5!
Uitoe ccm ili waingie chadema?
Kati ya majipu matatu makubwa ya wiki hii yote yalikuwa yanahusishwa na ufadhili wa mgombea wenu!
Bade, huyo mkenya na kitilya!
Sijui tungeishije na mijipu uchungu miaka 5!
They said 12M sir not 10M, si you know she was not fired? she still enjoys a Governement Car, a Driver, and all that goes with such callings am not sure if she is alone... Someone said 'dhaifu'