YES! But i guess aliletwa Afya baada ya kuonekana she's ok! Is she still ok hata baada ya kufanya vibaya Wizara ya Afya? Kama ingekuwa ametoka Afya ktk mazingira ya kawaida, then nisingekuwa na tatizo!Mkuu hapo hamna kitu ni mbwembwe tu za magazeti. Huyu mama kabla ya kuwa mhasibu mkuu wa Serikali alikuwa mmoja wa makamishna wa TRA.
Kilichofanyika ni kumrudisha tu alikotokea, hakuna jipya hapo!
YES! But i guess aliletwa Afya baada ya kuonekana she's ok! Is she still ok hata baada ya kufanya vibaya Wizara ya Afya? Kama ingekuwa ametoka Afya ktk mazingira ya kawaida, then nisingekuwa na tatizo!
Mkuu ni kweli kabisa huyu mwanamama anatuhuma nzito sana ambazo bado hazijathibitishwa,na haya yote inasadikiwa aliyafanya akiwa wizara ya Afya!Mimi sioni vibaya yeye kupangiwa kazi eneo jingine wakati bado uchunguzi unaendelea.Ikithibitika bila shaka kuwa hayo yote aliyafanya,basi iwe wakati muafaka wa yeyu kufukuzwa kazi mchana kweupe na kujibu mashitaka yake Mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi yetu!kwa kufanya hivyo haki itakuwa imetendeka!YES! But i guess aliletwa Afya baada ya kuonekana she's ok! Is she still ok hata baada ya kufanya vibaya Wizara ya Afya? Kama ingekuwa ametoka Afya ktk mazingira ya kawaida, then nisingekuwa na tatizo!
Mkuu suala la kuing'oa CCM lipo palepale na halipaswi kuwa mjadala!Tunaposema dawa ya mtandao huu ni kuing'oa CCM hakuna namna nyingine.
Tuache kuzunguka sana zaidi ya kulaumu CCM.
Mkuu ni kweli kabisa huyu mwanamama anatuhuma nzito sana ambazo bado hazijathibitishwa,na haya yote inasadikiwa aliyafanya akiwa wizara ya Afya!Mimi sioni vibaya yeye kupangiwa kazi eneo jingine wakati bado uchunguzi unaendelea.Ikithibitika bila shaka kuwa hayo yote aliyafanya,basi iwe wakati muafaka wa yeyu kufukuzwa kazi mchana kweupe na kujibu mashitaka yake Mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi yetu!kwa kufanya hivyo haki itakuwa imetendeka!
Aisee! Kumbe mama Brandina ni mpambanaji dhidi ya ufisadi!!! Thx for information!Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
Wivu tuu
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.