Blair Kukaangwa Leo

Yiyu Sheping

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
1,720
843
Ile ripoti ya uvamizi huko Iraq inatolewa sasa na mambo yanamuendea mrama Blair.

Watu wana jiuliza kwa nini sasa? takribani miaka 7 tangu kuanza uchunguzi huu. Baada ya UK kujichanganya na maamuzi ya brexit tutarajie kuona mengi.
 
halafu...mbona ya Bush mpaka alikiri kuwa alidanganywa na CIA , hakukuwa na silaha za sumu.......

unafikiri then nini kitatokea? ebu kataza watu wasitumie shisha bana
 
Nasikiliza hapa, hapa jamaa wanamfungukia, sasa na huyu atapelekwa ICC?
 
Back
Top Bottom