Blackbery torch 9800,iphone 4s na htc sens

Blackbery torch 9800,iphone 4s na htc sens

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hiyo nikon camera ni mpya? Na inavitu vyake vyote? 100,000 utachukua?.
 
Wadau nina simu tatu zote
mpya na receipts na kila kitu unapata na mabox yake na tunaandikishana
kwa picha na vitambulisho,eg kitambulisho cha kura au passport ya
kusafiria.

Hizi ndo bei zake,

blackbery torch kwa mlimani city nimeona ni 1,070,000 mimi nauza laki
sita na nusu kamili

iphone 4s gb16 kwa mlimani city nimeona ni $1150 mi nauza laki nane

htc sens kwa mlimani nimeona 848,000 mi nauza laki sita kamili

kamera nikon megapixel 7.5 nauza laki moja na nusu

wenye/mwenye hitaji nicall 0683653325

mwenye hitaji nicall as soon as possible narudi chuo this weekend.

Cheers!!

mods hii inahusianaje na jukwaa la siasa?
 
Hapa ulipoweka hili tangazo si mahali pake kuna jukwaa la matangazo.
 
hizo simu ukinunua unapiga kabisa picha na messi
 
Wadau nina simu tatu zote mpya na receipts na kila kitu unapata na mabox yake na tunaandikishana kwa picha na vitambulisho,eg kitambulisho cha kura au passport ya kusafiria.

Hizi ndo bei zake,

blackbery torch kwa mlimani city nimeona ni 1,070,000 mimi nauza laki sita na nusu kamili

iphone 4s gb16 kwa mlimani city nimeona ni $1150 mi nauza laki nane

htc sens kwa mlimani nimeona 848,000 mi nauza laki sita kamili

kamera nikon megapixel 7.5 nauza laki moja na nusu

wenye/mwenye hitaji nicall 0683653325

mwenye hitaji nicall as soon as possible narudi chuo this weekend.

Cheers!!
Da hivi Mlimani City ishakuwa kilinganisho cha bei,embu tulinganishie na bei za CBA(Posta & Kariakoo)huko nako kuna maduka yaliyoenda shule kama yale ya Mlimani,pia na linganisha na maduka yaliyopo Quality Centre,ukitoa hizo bei ntakutafuta dugu yangu
 
Back
Top Bottom