Blackbery desktop/suit

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
naomba mwenye hii software tafadhali au link ya ku download for free...kama dsm nitakufuata kabisa ulipo..kama itashindikana ku attach..
 
Du hii kali B/B Desktop napita bora uneanzia Technology, Gadget & Science kwa hapa napita maana nimeenda Google sikupata kitu
 
Mfano..kama usingechangia lolote ungepungiwa na kitu ndugu....by th way..powa,ndio ulikuw mwsho wako wakufikir!

Inamaana hujaweza kuclick hizo link ama nimekuwekea hapo link .....hebu zifunguo uone kama hukutani na hiyo software unayotaka au we ndo hujishughulishi ati!
 
naomba mwenye hii software tafadhali au link ya ku download for free...kama dsm nitakufuata kabisa ulipo..kama itashindikana ku attach..

Usipofanikiwa ni pm nikupe CD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…