donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salam wakuu,
Nilikua na ka galaxy ace kangu lakini baada ya kukapoteza nikaamua kuswap niingie kwa bb. Sijaona wachovu kama blackberry interms of apps kwa kweli. Bb apps ni chache sana compared to google playstore, na hata hizo chache nyingi ni za kununua tofauyti na android. Pia hata kwa performance kama speed interms of booting, unaweza ukarestart bb device ikawaka baada ya dk5. Yaan ina title kubwa lakini hamna kitu kabisa, na nahisi corporation iko mbioni kufa waki introduce bbm kwa iOS na android ndio baaas tena hakutakua na unique feauture kwa bb.