Kusema na ukweli dreamfone yangu ni iPhone!! Nilipokua sijapata kazi nilimuona jamaa mmoja hivi Ana iPhone 3G!! Du mshkaji nilimtamania Sana! Nikajiapia kuja kuimiliki Mungu jalia ikatoka iPhone 4 kuja a nikajitosa mwenyewe shop! Kitu kipya nikavuta! Namshukuru Sana Steve job hiisim inaniweka Karibu na dunia wakati wote! Nafurahi hasa wanapotubadilishia iOS6, na sasa tuna 7 kitu make mie niwashauri achaneni BB mwaka wa Tati huu sim Kama nilinunua jana