Y Yeyeli Member Joined Jul 31, 2013 Posts 40 Reaction score 5 Mar 20, 2014 #1 Naombeni msaada wa kufahamishwa bei za blackberry Q10 na Q5 Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Naombeni msaada wa kufahamishwa bei za blackberry Q10 na Q5 Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,247 Reaction score 5,451 Mar 20, 2014 #2 GSM ARENA inaonesha BlackBerry Q10 iko kwenye kiwango cha US Dollar ($) 300 na Q 5 katika kiwango cha Dollar ($)200 Kwa mfano ukiongeza kama asilimia 15 ya hizo Bei nadhani ndo itakua Bei halisi hapa Nchini :coffee:
GSM ARENA inaonesha BlackBerry Q10 iko kwenye kiwango cha US Dollar ($) 300 na Q 5 katika kiwango cha Dollar ($)200 Kwa mfano ukiongeza kama asilimia 15 ya hizo Bei nadhani ndo itakua Bei halisi hapa Nchini :coffee:
Y Yeyeli Member Joined Jul 31, 2013 Posts 40 Reaction score 5 Mar 20, 2014 Thread starter #3 Shukran Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,247 Reaction score 5,451 Mar 20, 2014 #4 Haina neno Mkuu