Nilikua naomba msaada wa kuangalia youtube click ktk blackberry yangu kwani natumia bb internet package ya airtel na nadhani wamezuia nisione. Au ni kwa wote hawaoni?
Mostly mitandao mingi huwezi kustream videos youtube kwa bb kupitia hizi data plans zao lakini ukiweka salio let's say jero unaweza ukachek tu fresh sema inakata fasta.