Blacberry watafute special customers...
Kuingia android ni kujiua kabisa, huko samsung ameshashika...
naskia nokia wanarejea tena kwenye soko la smartphones mwakani, ni kweli mnazi wa nokia?
yap eka contdown timer 6 month to go. huenda january 2016 ikatoka. ila watakuwa wanafanya design tu, manufacturing na supply atafanya mwengine.
android? au wanatengeza os yao?
wanatengeneza wote hio simu, ni muungano wa bb na samsung.