danione Member Joined Oct 26, 2011 Posts 58 Reaction score 5 May 19, 2013 #1 Waungwana Habari za Jumapili... Samahani nilikuwa naomba kuuliza inawezekana kutumia zile servise unazolipia za Intarnet kwenye BB ukatumia kwenye PC Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Waungwana Habari za Jumapili... Samahani nilikuwa naomba kuuliza inawezekana kutumia zile servise unazolipia za Intarnet kwenye BB ukatumia kwenye PC Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
sajo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 4,173 Reaction score 7,262 May 20, 2013 #2 Desktop au laptop?kama mashine hiyo pc ina wi-fi connect via mobile hotspot kama haina basi kuna application inaitwa tether ndo itabidi uitumie
Desktop au laptop?kama mashine hiyo pc ina wi-fi connect via mobile hotspot kama haina basi kuna application inaitwa tether ndo itabidi uitumie