Blackberry Curve inahitajika!

Blackberry Curve inahitajika!

Nina hitaji Blackberry kwa anayeuza pls ofa yangu ni 100,000/=

Uko wapi, me nipo mwanza hii ninayokujibia hapa ni bold 9700,iko poa though housing imepauka kiasi. Lete hiyo mia asee ukitaka nzuri zaidi nna torch 9800 pia, hiyo ntakupa kwa 250000 tu!
 
uko wapi, me nipo mwanza hii ninayokujibia hapa ni bold 9700,iko poa though housing imepauka kiasi. Lete hiyo mia asee ukitaka nzuri zaidi nna torch 9800 pia, hiyo ntakupa kwa 250000 tu!

ni pm namba yako na mimi nipo mwanza
 
Nna curve 3 iko kwenye hali nzuri,pm tufanye bizness

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom