kussy JF-Expert Member Joined Jun 15, 2010 Posts 409 Reaction score 125 Dec 11, 2013 #1 Wadau naomba msaada siku ya pili sasa simu yangu ya Blackberry Bold 9700 imegoma kuwaka. ina initialize vizuri inapofika kwenye kuwaka inagoma inarudi mwanzo, mwendo ndo umekuwa huo. je niitupe au kuna uwezekano wa kusolve hii issue
Wadau naomba msaada siku ya pili sasa simu yangu ya Blackberry Bold 9700 imegoma kuwaka. ina initialize vizuri inapofika kwenye kuwaka inagoma inarudi mwanzo, mwendo ndo umekuwa huo. je niitupe au kuna uwezekano wa kusolve hii issue
cheeter JF-Expert Member Joined Apr 19, 2011 Posts 475 Reaction score 155 Dec 11, 2013 #2 Nunus nyingine,ninayo bb9700nauza lak na kumi