blackberry bold 9700 used kwa 300,000 tu

blackberry bold 9700 used kwa 300,000 tu

tsar

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
74
Reaction score
2
ninauza bold yangu kwa laki tatu.
ni pm kama wahitaji
nipo dar
sinza
 
Umenikasirisha
Nimeamua kuiuza kwa 250
Mwenye nayo ani pm
Na wewe shusha zako kama hujahama mjini
Mie nauza kubadili handset

safi kabisa thats spirit.....maliza kabisa kwa kulamba 2 mkuu.....kama vp ni pm tufanye biznes
 
check PM yako kuna mdau kaniagiza nikupe namba yake umchek kabla haghairi week end hii
 
Back
Top Bottom