Blackberry 9900 Inahitajika.

Blackberry 9900 Inahitajika.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo. Nahitaji BB9900 Mpya ambayo haijatumika.

Badget yangu ni Kilo 3 tu.
 
Hallo. Nahitaji BB9900 Mpya ambayo haijatumika.

Badget yangu ni Kilo 3 tu.
Call Me; 0715240140


Me ninayo imetumia kwa siku chache iko ktk hali nzuri sana lkn nauza kwa 350,000, pia ninayo blackberry Z10 Nayo iko ktk hali nzuri sana nauza kwa 580,00 cm zote ni original from vodafone UK with vodafone logo, zimefunguliwa kwa matumizi nje ya UK, Na vilevile ninayo blackberry 9900 iko ktk hali nzuri sana lkn aifanyi kazi ni kwa ajili ya Spare au kama unataka kuifanyia repair, Ni Pm tufanye biashara
 
Mkuu mimi nna blackberry q5,nauza 400000,bei ya mlimani city ni 600000..
Nimeitumia kwa mwezi m1,ipo na box lake pa1 na risiti yake..
 
Nina iphone 4s mpya bei ni 450000


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom