Blackberry 9780 430,000

aghassany

Member
Oct 9, 2011
57
1
Blackberry 9780 used lakini ipo kwenye Hali Nzuri Sanaa... Inakuja na kila kitu chake mpaka box... Pm au piga 0785 202202 Kama unahitaji.
 
bado hujapata mteja wa kukupigia? utangoja mpaka bwana yesu atarudi hakuna mtu atakaekupigia, tulikushauri uweke bei mtu akiona reasonable ndo anakupigia, ukaona ushauri huo mbaya ukaitelekeza thread uliyoianzisha ukaja fungua thread ingine kwa tangazo hilo hilo, sasa usitujazie server. weka bei atakaetaka atakupigia wewe wa wapi?
 
Mkuu mbona bei ameweka angalia vizuri 430,000Ths
 
Mambo mengine ni ya ajabu sana. Bei nimeweka kwenye kitchwa cha habari na mtu haoni anaamua kutoa manner ya ovyo mwishowe unaonekana....
 
aghassany naomba radhi, unajua huwa nakerwa na matangazo yasiyo jitosheleza, big up jembe, sasa kabla sijapiga simu naomba nijue we uko wapi? naitaka najua hatutashindwana ktk bei.
 
Back
Top Bottom