blackberry 9300

blackberry 9300

manmoshi

Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
14
Reaction score
0
msaada wa black berry9300 inazingua kufungua camera'ina sema close some application'
 
Restart. Chomoa battery then iwashe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tumia kidole chako cha pili toka dole gumba, kitumie kugonga kwenye lens ya camera yako...

Gonga kama vile unavyo gonga msumari na nyundo...

Camera yako haijafa na haiwezi kufa, baada ya kufanya kama nilivyo kuelekeza hapo juu chomoa battery na kuirudishia.
 
ushauri mwingine unaweza fikir km nguvu za giza,
ngoja tuone mlishonyuma wa mwathirika
 
ushauri mwingine unaweza fikir km nguvu za giza,
ngoja tuone mlishonyuma wa mwathirika

Nilijua tu lazima atajitokeza mtu mwenye mawazo kama ya kwako.... hiyo njia ni suluhisho la kudumu mkuu, uliza watumiaji guru wa BB watakuambia kuhusu hiyo kitu.
 
Delete BBM

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom