Aisee mi bado ni fanatic wa physical keyboard na ndio maana mpaka leo iPhone zilinishinda naendelea kudata na BB zangu. Ngoja tuendelee kusubiri tuone
,inaonekana hii simu na OS10 kwa ujumla ni mashine sana.iphone5 na galaxy na lumia zinaonekana kupotezwa na hii mashine
Hatimae blackberry 10 ya kwanza imeingia sokoni,inaitwa blackberry z10 ni full touchscreen phone without physical keyboard kama iphone,kwa maelezo ya wazoefu wa bb hasa crackberry,inaonekana hii simu na OS10 kwa ujumla ni mashine sana.iphone5 na galaxy na lumia zinaonekana kupotezwa na hii mashine,only kwa display inaonekana iphone5 ipo juu,browsing inaonekana z10 ipo standard sana,kwa wapenzi wa bb(mimi nikiwa mmoja wao) hope android hawatatutesa tena as OS10 itakuwa na app za kutosha,almost zote za android
.specific features za Z10(inasomeka zedi teni au zii teni)ni hizi:
Display:4.2 Multi-touch LCD display
Software:Blackberry 10 OS
Memory:2GB ram,16GB(inbuilt memory,support Micro SD up to 32GB)
Processor😀ual Core 1.5Ghz
Camera:8MP(camera ya nyuma) and 2MP(ya mbele)
About perfomance tutajua vizuri tukishaishika mkononi..
Na kuongezea Lumia 920 ni very heavy in terms of weight compared to the others
Na kuongezea Lumia 920 ni very heavy in terms of weight compared to the others
hivi mtoto wa kishua na mtu anayefanya research all time nani kilaza?BlackBerry na Nokia wote vilaza tu hamna jipya,,
hivi mtoto wa kishua na mtu anayefanya research all time nani kilaza?
Google, apple, samsung na wengine wengi wanaspend less kwenye research wao wanasubiri wenzao wagundue then wao wanunue tu. (naongelea issue ya simu tu)
nokia anaspend hadi 3.9 bilion usd kwenye research zaidi ya trilion 6 (nusu ya budget ya tanzania) wakati mtu kama apple anasped 1/5 ya nokia
ndo mana unakuta kampuni nyingi zinamlipa nokia kwa akili yake.
1)kila iphone/ipod moja inayouzwa nokia anapata dola 6/7
2) blackberry amemlipa nokia dola milion 50 quarter iliopita na ataendelea kulipa kwa kutumia patent za nokia kwenye bb10
3) nokia ndo kampun pekee ya simu inayoresearch graphene lakini tayari samsung ana patent 400 tiyari nae ashatoa cash japo deal halijawa revealed
sasa hapa nisaidie wewe kilaza ni yule anaesubiria wenye akili wagundue au yule alogundua ndio kilaz
chief-mkwawa big up
hivi mtoto wa kishua na mtu anayefanya research all time nani kilaza?
Google, apple, samsung na wengine wengi wanaspend less kwenye research wao wanasubiri wenzao wagundue then wao wanunue tu. (naongelea issue ya simu tu)
nokia anaspend hadi 3.9 bilion usd kwenye research zaidi ya trilion 6 (nusu ya budget ya tanzania) wakati mtu kama apple anasped 1/5 ya nokia
ndo mana unakuta kampuni nyingi zinamlipa nokia kwa akili yake.
1)kila iphone/ipod moja inayouzwa nokia anapata dola 6/7
2) blackberry amemlipa nokia dola milion 50 quarter iliopita na ataendelea kulipa kwa kutumia patent za nokia kwenye bb10
3) nokia ndo kampun pekee ya simu inayoresearch graphene lakini tayari samsung ana patent 400 tiyari nae ashatoa cash japo deal halijawa revealed
sasa hapa nisaidie wewe kilaza ni yule anaesubiria wenye akili wagundue au yule alogundua ndio kilaza
Haaaaaa wewe hamna kitu iphone bdo iko juuuu , iyo inaingia virus iphone akuna kitu ikooo