mauki barakuda
Senior Member
- Apr 17, 2015
- 126
- 31
Naombeni kujua uwezo wa simu hii kwa anaezifahamu vizuri
Hakuna kipaji cha kutengeneza simu kaka, ukiona tu kampuni ya simu huielewi achana nayo. Utaiona nzuri ikiwa mpya ila hutapata support yoyote ikianza kuharibika.
Pia siku hizi ukiwa na dola 20,000 tu unaagizia mzigo china na jina lako, simu nyingi unazoziona mtaani ni hizo hizo ila watu tu wanazibrand na kueka majina yao.
Bora wekeza hela yako tafuta simu nzuri yenye warranty utulize kichwa uache kuhangaika.
Naombeni kujua uwezo wa simu hii kwa anaezifahamu vizuri