Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje?

nadhani hii itakuwa njia mbadala nzuri ya chakula cha kuku badala ya vyakula vingine vyenye gharama kubwa kulinganisha na virutubisho vilivyomo ndani yake.