Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,218
- 5,904
bila shaka wengi mmesikia juu ya nguvu ya mafuta haya yanayotokana na mmea unaoitwa "Sativa Nigella" kwa jina la kisayansi katika kutibu magonjwa mbalimbali. Dawa hii inaaminiwa kutibu magonjwa mengi sana yaliyoshindikana kwa dawa za hospitali. Pia humu wengi ni mashuhuda wa nguvu ya mmea huu katika kutibu magonjwa. Mimi pia ni shuhuda wa hili na humu kuna watu nimewasaidia na wamepona. Miongoni mwa magojwa yanayotibika kwa dawa hii ni pamoja na Bawasiri (Piles au hemohoids), uvimbe, tatizo la nguvu za kiume n.k
Ili nisimalize utamu wa nguvu ya mmea huu, unaweza ku-google mwenyewe. But mashuhuda wa nguvu ya mmea huu wapo humu.
KWA YEYOTE ANAYEHITAJI MAFUTA HAYA YA MMEA HUU WENYE NGUVU ZA KUTIBU MAGONJWA ANAWEZA KUWASILIANA NA MIMI NA AKAYAPATA KWA ODA. UNAWEZA KUJA INBOX.