Black science.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mtaa # 1 huko s'wanga:Jamaa akiwa na baiskeli yake akakutana na babu mmoja akienda kwa mguu.Yule babu akamuomba lift,jamaa akatosa kwa visingizio baiskeli yake ni mbovu.Babu akasema haina shida,tangulia kijana.Kuanzia hapo baiskeli ya yule kijana ikawa nzito mno,hata vilima vidogo akawa anasukuma tu.Yule kijana alipofika mwisho wa safari yake alimkuta yule mzee amejipumzisha chini ya mti.Cha ajabu hakuna baiskeli,pikipiki wala gari iliyompita huyu kijana njiani,je huyu babu alitangulia vipi?
 
Mtaa #2:Jamaa mmoja kwenye vilabu vya pombe za kienyeji aliamua kuvamia pombe bila kukaribishwa.Kumbe wale jamaa walikuwa wanga,basi jamaa kila akitia mrija kuvuta pombe hapati kitu.Jamaa akajaribu kila angle ikashindikana kabisa kuvuta ile pombe kwa mrija.Jamaa akasalimu amri,akawaomba msamaha wale wazee kwa kuvamia pombe yao.Wale wazee wakamsamehe,wakatoa sarafu ya sh.1 wakaivusha juu ya ile sadolin ya pombe,jamaa akatia mrija kwenye pombe na kuendelea kuvuta ulabu kiulaini.
 

mhh kweli black science
 
Jamaa alikuwa amembeba babu bila kujua, that's real black science
 
Its not black, si uzito aliuhisi kabisa wakati akiendesha hiyo baiskeli yake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…