Technian Tanga
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 411
- 200
King cobra
Kuna uzi umeanzishwa ukieleza wasifu wa Black mamba kama nyoka hatari zaidi nyoka dunia kwa sumu
Kwanza tuelewa jamii hii yote ya nyoka hawa ni venomous snakes .Lakini sumu ya black mamba ni kubwa zaidi ya Cobra , Wasifu mwingine black mamba anakula Wadudu jamii ya panya lakini King cobra yeye anatafuna nyoka wenzie, king cobra ni mrefu zaidi ya black mamba ila pia black mamba yuko shapu zaidi ya cobra .
Kingine kama watapapanishwa basi black mamba apambane kwa tahadhari mana King cobra anaweza kumla kama nilivo sema apo juu kuwa chakula chake kikubwa ni nyoka wenzie lakini kikubwa nyoka hawa hawapatikana ukanda mmoja yani wako mazingira tofauti unahisi wakikutana nani atashinda?