Black Friday Nov24 kila mwaka ?

Maria M

New Member
Oct 11, 2017
2
1
Wana jamvi habari zenu kwenye pta pita zangu nime liona sana hili neno Black friday, mara nyingi nime iona mwezi huu kwenye mitandao ya njee ya nchi ya tanzania waki tangaza sana ...kuna lecturer wa chuo kimmoja hapa Dar baada ya kuona hilo tangazo aliniambia ni sawa na Movie ya the Purge kwa nijuavyo hii mvie ni ya kuuwana sasa kikuelewa ina relate vipi na hii siku 24th nov mana huyu lecturer alinimbia kila mwaka inafanyika siku muelewa kwa kweli. kilicho nifanya ni take kujua zaidi ni kwa nini ali fananisha na ovie ya The purge na kwa tanzania ina impact gani mana niliona tanzania kupitia mtandao wa Jumia hapa Black Friday Sales 2017 - Biggest Online Sales & Offers | Jumia Tanzania

ukiangalia jumia wameweka vitu vitu hata sija elewa vizuri na nimeona pia ni karibia jumia zote Africa wana hii mambo utofaut uko kwenye domain name tu lakini nchi za nje ndio nime ona sana kupitia mitanadao yao.. naombeni mnieleimishe tfadhali
 
wasubiri wajuvi waje wakuelimishe ila pia jitahidi uwe unafanya-proof reading kabla ya kuweka bandiko lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom