T Teye Member Joined Apr 3, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Nov 9, 2012 #1 Wakuu,naomba msaada configuration ya email accounts kwenye Black berry 9860. Ahsanteni
J junior05 Senior Member Joined May 3, 2011 Posts 186 Reaction score 46 Nov 10, 2012 #2 Email configuration are same for all blackberries go to menu setup email settings then add mail then you are done
Email configuration are same for all blackberries go to menu setup email settings then add mail then you are done
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 Nov 10, 2012 #3 Mkuu umejiunga na blackberry data plan? kama siyo usijisumbue na hizo configuration maana hazitafanya kazi... ukijiunga na any bb data plan unatumiwa configurations zote kwa pamoja zikiwemo na za browser.
Mkuu umejiunga na blackberry data plan? kama siyo usijisumbue na hizo configuration maana hazitafanya kazi... ukijiunga na any bb data plan unatumiwa configurations zote kwa pamoja zikiwemo na za browser.