Mbona whites sijasikia wakipewa kesi???Acha kutetea ujinga kama wanafanya hivo wasishitakiwe kisa wanamafanikio
Pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nao wengi tu whites wanapewa kesi mfano juz tu hapa kuna mtaharishaji wa filamu alikuwa na kesi na waigizaji kuwanyanyasa kingono, sema hata issue ni kesi zinawangukia watu maarufu na wenye fedha
Kila MTU atahukumiwa kwa matendo yake siku wakitoka ambao wamefanyiwa huo ukatili Na whites watahukumiwa tatizo tumekuwa victim wa mifumo ya maisha ambayo tumeishi zamani sasa hivi ukiona MTU mweusi mwenzako amehukumiwa kwa upuzi aliufanya badala ya kuangalia kosa lake unaangalia color hii kadhia tunatakiwa tuiache sasa
DUU!!! KWELI WEWE UPO NYUMA YA DUNIA. HUJUI KAMA WANGEKUWA WAARABU WANAPEWA KESI ZA UGAIDI.Hivi jamani inakuwaje Marekani black wengi wakifanikiwa lazina wapewe Kesi za Kubaka?? Kama ni hela mbona whites pia wana hela lakini hawapewi hizo kesi?? Alafu mpaka documentary za kuwachafua blacks zinatengenezaa.. R kelly kapewa kesi..Chriss brown nae ana kesi.. Michael Jackson alipewa kesi... Watu wengi kibao wanapewa za kubaka huko Marekani nadhani kwenyr hili kuna UBAGUZI NA UDHALILISHAJI WA ASILI YA MWAFRIKA... Figisu zipo kila konaa aisee bongo unapigwa uraia mbele ni kubaka tuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Very True,,no addition on that,,Ipo vihi mkuu. Mara ngingi hawa blacks wanatokea kwenye jamii masikini so wanapoanza kupata fame na dough huanza kupata fanbase na humo hata whites wapo.
Kama ujuavyo mambo ya wanamuziki hawa hasa wakiume fans wao wengi ni wasichana/wanawake na wengi ni underage. Hivyo wengine huweza kutafuta opportunity ya kukutana na idol wao na wanapofanikiwa kukutana mitego na nini (inajua tena sisi wanaume hisia zetu hazinaga akili).
Mwisho wa siku unakuta mtu amebanjua underage, hata akama alibakiza weeks kutimiza umri wa utu uzima. Mara nyingi pia inawezekana ni kazi ya rivals au familia masikini wanao spot potential ya kukulostisha au kupiga pesa kwa mgongo wako. Wanakupandikizia underage. Unajiachia nae hata kwa miaka alafu baadae anakuja ku come out na kufungua mashtaka ya statutory rape.
Sexual activity na minors (age 12-16 years) hata kama alikubaliana na wewe hiyo ni statutory rape kwasababu anakua bado hajafikia age of consent.
Sisi tunaongoza kwa ubaguzi ingawa ndio tunaongoza kwa kudai haki sawa.Christin ronaldo naye ni black? Sisi weusi tunajichukulia kama special group sana.
Hata Robert naeNgozi nyeusi akili zetu tunazijua wenyewe...hawa watu weusi maarufu wa zamani walikuwa na mambo ya ajabu sn haswa ubakaji Bill Cosby,Mike Tyson na wengine wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app