Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 844
- 2,184
Una miaka mingapi nikuoneshe binti ambaye ni bikraKuna wanaume wanaosema “dini inataka mwanaume aoe bikira,” kana kwamba ubikira ni guarantee ya kupata mwanamke bora. Ni lazima tutenganishe fundisho la dini, preference binafsi na character ya mtu.
Mwanaume ana haki kabisa kusema anataka bikira. Lakini usifanye preference yako kuwa sheria ya Mungu, wala usidai kwamba mwanamke asiye bikira hana thamani.
Kwa sababu ubikira unaeleza jambo moja kuhusu historia ya ngono ya mtu; hauwezi kukuambia character yake.
Bikira anaweza kuwa mwaminifu au msaliti. Anaweza kuwa na discipline au asiwe nayo. Anaweza kuwa mnyenyekevu au mwenye kiburi. Vivyo hivyo, mwanamke ambaye si bikira anaweza kuwa na character nzuri na akawa mke bora.
Na kama tunatumia dini kama standard, basi tuwe consistent: mwanaume anayetaka bikira kwa sababu za kidini naye awe tayari kupimwa kwa standard hiyo hiyo. Huwezi kumwekea mwanamke kiwango ambacho wewe mwenyewe hukubali kuwajibika nacho.
Pia, kama mtu alifanya makosa zamani, akatubu na akabadilika, tusifanye past kuwa hukumu ya maisha yake yote. Change is possible, but it must be demonstrated by character, not claimed by words.
Ndiyo maana kwenye ndoa, historia ni muhimu lakini character ndiyo msingi.
Usiulize tu: “Ni bikira?”
Uliza: “Ni mwaminifu? Ana discipline? Ana self-control? Ana heshima? Anaweza kuwa committed? Ana uwezo wa kujenga familia?”
Kwa sababu mwisho wa siku:
Ubikira si guarantee ya uaminifu.
Umri si guarantee ya maturity.
Uzuri si guarantee ya loyalty.
Na kwenda kanisani si guarantee ya character.
Mwanaume anaweza kuchagua bikira, hiyo ni preference yake. Lakini bikira si magic solution ya ndoa.
Bikira ni hali. Character ni tabia. Ndoa inahitaji tabia.
Kwa upande wangu, mimi nitaoa bikira aisee [emoji23]. Lakini hiyo ni preference yangu, siwezi kuigeuza kuwa sheria kwamba kila mwanaume lazima afanye hivyo. Mimi nimechagua hivyo kwa sababu zangu, wewe chagua kwa sababu zako. Mwisho wa siku, kila mtu anabeba matokeo ya uchaguzi wake.
Huyo ni mwanamke aliyechakazwa, amekuja huku kutafuta hurumaWe kama umeoa nunga embe relax tu mkuu, hilo ndio chaguo lako pambana nalo
Thamani ya mwanamke inategemeana na anachokitafuta mwanaume.Kuna wanaume wanaosema “dini inataka mwanaume aoe bikira,” kana kwamba ubikira ni guarantee ya kupata mwanamke bora. Ni lazima tutenganishe fundisho la dini, preference binafsi na character ya mtu.
Mwanaume ana haki kabisa kusema anataka bikira. Lakini usifanye preference yako kuwa sheria ya Mungu, wala usidai kwamba mwanamke asiye bikira hana thamani.
Kwa sababu ubikira unaeleza jambo moja kuhusu historia ya ngono ya mtu; hauwezi kukuambia character yake.
Bikira anaweza kuwa mwaminifu au msaliti. Anaweza kuwa na discipline au asiwe nayo. Anaweza kuwa mnyenyekevu au mwenye kiburi. Vivyo hivyo, mwanamke ambaye si bikira anaweza kuwa na character nzuri na akawa mke bora.
Na kama tunatumia dini kama standard, basi tuwe consistent: mwanaume anayetaka bikira kwa sababu za kidini naye awe tayari kupimwa kwa standard hiyo hiyo. Huwezi kumwekea mwanamke kiwango ambacho wewe mwenyewe hukubali kuwajibika nacho.
Pia, kama mtu alifanya makosa zamani, akatubu na akabadilika, tusifanye past kuwa hukumu ya maisha yake yote. Change is possible, but it must be demonstrated by character, not claimed by words.
Ndiyo maana kwenye ndoa, historia ni muhimu lakini character ndiyo msingi.
Usiulize tu: “Ni bikira?”
Uliza: “Ni mwaminifu? Ana discipline? Ana self-control? Ana heshima? Anaweza kuwa committed? Ana uwezo wa kujenga familia?”
Kwa sababu mwisho wa siku:
Ubikira si guarantee ya uaminifu.
Umri si guarantee ya maturity.
Uzuri si guarantee ya loyalty.
Na kwenda kanisani si guarantee ya character.
Mwanaume anaweza kuchagua bikira, hiyo ni preference yake. Lakini bikira si magic solution ya ndoa.
Bikira ni hali. Character ni tabia. Ndoa inahitaji tabia.
Kwa upande wangu, mimi nitaoa bikira aisee [emoji23]. Lakini hiyo ni preference yangu, siwezi kuigeuza kuwa sheria kwamba kila mwanaume lazima afanye hivyo. Mimi nimechagua hivyo kwa sababu zangu, wewe chagua kwa sababu zako. Mwisho wa siku, kila mtu anabeba matokeo ya uchaguzi wake.
Mi nikajua mwanaume mwenzetu, aje atuambie aliolewa na bikra halafu akayafanya yote hayo? Tunataka ushuhuda kwa waliooa au olewa na bikra zao sio hawa zilizotolewa kwa shiva jero jeroHuyo ni mwanamke aliyechakazwa, amekuja huku kutafuta huruma
Yn kitendo cha kushawishika had kwenda kulombwa hilo n tatizo la binti, hii isiwe kisingizio mzee acha kulea maradhiMimi huu mjadala huwa siuelewi. Sikatai bikra Inaongeza thamani ya mwanamke. Lakini hebu tuangalie na mazingira yenyewe. Wanaume tumekuwa tukihukumu wanawake kwa situation ambazo tumetengeneza sisi wenyewe. Wasichana wengi hupoteza bikra wakiwa bado wadogo kwenye teenages na ukifuatilia ni wanaume ndio wanawashawishi na kuwatoa. Hata binti wa watu akikataa bado mwanaume hutumia mbinu nyingi kumshwishi Mpaka kumtoa bikra halafu baadaye humuacha huyo binti na trauma... So tusilaumu pekee unless uwe hujawahi kuharibu bikra ya mtu.
Siwatetei Ila naeleza uhalisia, huo umri watu wengi wako kwenye exploration wanajaribu mambo mapya, hakuna maturity yoyote, Wachache wanaojitahidi kukaza wakifika Chuo zitatolewa tu. Tukubali hii jamii ya utandawazi Hilo ni suala gumu. Unless wanaume nao watulie wasubiri Ndoa ndio wasex, basi bikra zitakuwa nyingi sanaYn kitendo cha kushawishika had kwenda kulombwa hilo n tatizo la binti, hii isiwe kisingizio mzee acha kulea maradhi
🤣🤣🤣🚮
Kwanini yanapokuja matakwa ya wanaume mnakuwa mnaleta ngumu sana na kila mtu anajifanya expert.
Ni sawa mwanamke kutaka bwana alie na mali ila mwanamme kuhitaji binti aliye bikira anaanza kushambuliwa kuwa bikira sio cha maana.
Bikira ni tunu, bikira ni heshima, bikira ni kujivunia , kama vile nyie mnapokuwa mnasema nataka bwana mweusi, mrefu na awe na kazi na sisi tuheshimiwe tukisema tunataka binti alie bikira.
Kupigwa kwako miti tangu upo sekondari kusinyime raha wengine walioamua kuvaa chupi za kufuri.
So asitupangie sindio 😄😁We kama umeoa nunga embe relax tu mkuu, hilo ndio chaguo lako pambana nalo
Watu waache ujinga mkuu😁😁 sisi sio wapumbavu🤣🤣🤣
I was board till I met with this comment 😁😁
Kweli 😆😆Watu waache ujinga mkuu😁😁 sisi sio wapumbavu
Na asituzoee pia, wenyewe wanachagua kimo mpaka mfuko sisi mbona hatuna habari naoA
So asitupangie sindio 😄😁