BK Kunani?

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
10,181
Reaction score
7,383
Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
 
View attachment 151166

Ficha upumbavu wako, wacha ku-copy picha za miaka mingi toka facebook halafu wajifanya umepiga wewe na hadithi za uongo kabisa. Wee utakuwa na minyoo kwenye ubongo si bure.
 
Nyati mbona umekuwa mkali hivyo, au na wewe upo kwenye hao machalii?
 
Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
View attachment 151166

Kutoka kushoto kwa mtazamaji, hao wawili wa mwanzo watakuja kuwa ( au washakuwa) wanaume wa ukweli, watatu na watano hao sio riziki kabisa, hebu cheki jinsi walivyobidua hizo assets zao kama vile wanasema njoo uonje.

NI MTAZAMO TU
 
Mwenyewe kaona jana.... Haaaa haaaa haaaa MTZ Bhana, yni mambo yake uongo uongoooooooooooo...... wizi mtupu! ila watoto weusi
 
Kutoka kushoto kwa mtazamaji, hao wawili wa mwanzo watakuja kuwa ( au washakuwa) wanaume wa ukweli, watatu na watano hao sio riziki kabisa, hebu cheki jinsi walivyobidua hizo assets zao kama vile wanasema njoo uonje.

NI MTAZAMO TU

Umenivunja mbavu
 
ha ha ha umenivunja mbavu zangu na sina hela ya kwenda hospitali ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…