tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
“Nataka niwahakikishie mkinichagua tutaongeza wodi na zahanati, tunataka watu wa Namonge na Busonzo waishi kama Watanzania wa daraja la juu, Tutahakisha tunaongeza shule, kuna vijiji havikuwa na shule na tumejenga shule mpya. Tumekuja hapa kuomba kura ili tumchague Rais Samia kwa vile ni kumchagua yeye ni kuchagua maendeleo,” amesema Dkt. Biteko.
Soma Pia: Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?
Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 9, 2025 katika mkutano wake wa kunadi sera kwa wananchi wa Kata ya Namonge na Kata ya Busonzo Wilayani Bukombe, Mkoani Geita.