Bishanga

Thread za Bishanga zimeanza kuniboa nyingi mnooooo

Oooohh sory kama nimekukwanza
Pole shemeji,i can understand,wewe jimuvuzishe mmu,hapa kuna mtanange unaendelea ambao hitimisho lake piga ua kuna mtu atasema...'i do'.
We andaa sare tu za kina mama wa jf.
 
Nilivyoona title nkajua ombi lake umelikubali...
Lol

Nataka....staki....nataka.....si unajua tena mkuu?
Tutafika lakini,mwaka huu afe kipa afe beki mechi hii lazima kipenga cha mwisho kipigwe kikisindikizwa na:
Haiyaiya kuolewa,ntarudi nyumbani kutembea......
 
Platozoon vipi,presha imeshuka?
 
Pole shemeji,i can understand,wewe jimuvuzishe mmu,hapa kuna mtanange unaendelea ambao hitimisho lake piga ua kuna mtu atasema...'i do'.
We andaa sare tu za kina mama wa jf.

Si unajua na maanisha kitu gani au umesahau
 
Bishanga kafungua ID nyengine na si muda mrefu ataitelekeza hii ID aliyo nayo kwa sababu imemletea kimavi!
Lakini tutamjua tu, hasidi haachi asili, atajisahu na kunyoosha kidole kujitambulisha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…