miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
kila mtu ana sharubu sio?
kwani kuna nini kinachoendelea huku best hebu nijuze ni my luv ameanza vituko vyake? au?
asante my cousin Lady doctor endelea kumwombea huyo maana sasa naona anataka na ndugu wa ukoo wote wa watu8 awamalize yeye sijui Mtambuzi ataambulia nini tena
Bishanga mutamu sana nakumbuka
asante kwa kunipa taarifa mdada wangu ila nahisi sasa Mentor kanishinda kabisa itabidi niombe talaka yangu, vinginevyo .................?