Bisha uwezavyo ila huu ndo ukweli...

Abiria mtoa mada tumshushie wap? mana MBINGUNi haendi et.
Safari imemshinda
 
Inategemea na utanzania wako ni wa wapi....kwa baadhi ya makabila ya mkoa wa Mara, binamu (mtoto wa shangazi/mjomba) ni NYAMA ya HAMU na wanaoana. Ila usukumani ni laana maana ni kama kaka na dada tu...sasa wewe mtanzania wa wapi?
 
kweli Iyo I'd inakufaa mkuu unawala tu .kweli mkuu aliyekuroga amesha dedi sijui nani ataku undo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…