Bisha uwezavyo ila huu ndo ukweli...

Yeye ckala wake sasa kwann uteseke?
Unajua hawa wanaume wa dar hawa bila kuwaweka sawa wataendekeza hizi njia. Wataona kwa nini apate shida ya kuwinda wakati home wapo. Hivi hivi utakuta ni nduguyo amekuja kwako,vile alivyovizoea vya havipo mtoto wako wa miaka miaka 12 katoka shule,ataona haka haka ngoja nimalizie hasira,anakuharibia mtoto. Ndio hawa hawa mkuu
 
Akikutana na nani mkuu
 

Miaka 12 ni mtoto?
 
Nimekuja spidi nikajua unataka kuongelea kitambulisho Cha nida kinatakiwa kwenye kusajili line.Kumbe unataka kushare ubazazi.
 
Alichokosea mtoa post ni kusema kuwa kama haujasex na binamu yako basi wewe sio Mtanzania, hii si kweli kwa sababu kuna tamaduni nyingine za kitanzania tabia hii haipo na utaonekana mtu wa ajabu kutembea na binamu yako maana wanamchukulia kama dada yako. Ila nataka niwaeleze hali halisi ya ubinamu, unaposikia binamu ni kinyama cha hamu msemo huu haukuongopa ni kweli kabisa kuwa kuna makabila mengine ya kitanzania binamu yako unaweza kumgonga na ikawa kawaida tu hakuna atakaeshangaa. Makabila hayo hasa ya ukanda wa pwani yameruhusu hata binamu kuoana, ukioa kwenye hayo makabila siku binamu ya mke wako akija kuwatembelea kuwa mwangalifu sana maana huwa kama paka na panya ukijisahau umepigiwa papuchi yako. Mimi ni mmoja wa hayo makabila na nimeshuhudia mengi kuhusu binamu kubanduana na nina mikasa mingi Ila kwa leo niishie hapa uzi huu ukiendelea nitawajuza zaidi.
 
Dhambi uibebayo usiilazimishie kwa wengine mkuu wewe ni dhaifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…